Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
si mchezo huyo Irene mashaallah!! mtoto mshunuu
Hakuna kitu hapo rangi tu zime kuchanganya.si mchezo huyo Irene mashaallah!! mtoto mshunuu
Ndio kitu mwanaume ana stahili kusema inapo bidi,safi sana.Safisana mondi
Hahahhahahhahhaha ssim uoyNimekusoma!
D asamehewe tu, maana dah!
Nimesifia jamani mnyonge mnyongeniHakuna kitu hapo rangi tu zime kuchanganya.
Basi niwie radhi madame.Nimesifia jamani mnyonge mnyongeni
naombeni bei ya uyu mtoto
Ha ha ha ha ha shemeji nawewe lolNi hivi majuzi tu tulisema Celebs wa bongo waijifunze style za Hollywood.Akina Jay na Bey are makin a lot of money kupitia hata conspiracy theory za ugomvi wao.Lakini huku kwa akina Pudensiana na Joachim au Mwajuma na Sadalla ni full masimango na kulogana for nothing.Shame!