Page zao si zipo?Wale wasanii waliofanya shoo jana ni kama tusi kwetu Watanzania!!
Ndio aandike kwa herufi kubwa??Kutoka kwenye Ukurasa wa Mwanamuziki Diamond Platnumz ameandika haya
"MWENYEZI MUNGU NDIO MPANGA WA YOTE...NA HAPAJATOKEA JAMBO PASIPO YEYE KUTAKA, NA KILA JAMBO HUTOKEA KWA SABABU...INSHAALLAH NA KWENYE HILI MWENYEZI MUNGU ATUJAALIE SABABU YENYE BARAKA KUBWA KWA TAIFA LETU... ATUJAALIE AMANI ZAIDI YA TULIYOKUA NAYO MWANZO, ATUJAALIE UPENDO ZAIDI, UMOJA ZAIDI, MSHIKAMANO, KUPENDANA, MAENDELEO NA AZILAZE ROHO ZA WALIOTANGULIA MAHALA PEMA PEPONI AMIN!,“
View attachment 3497163
Show ganiWale wasanii waliofanya shoo jana ni kama tusi kwetu Watanzania!!