sio takwimu zangu blazaUnatoa hadi takwimu zako feki ilimlad kutetea upuuz wako....kwan ww shangaz yake au mama ake mdogo!!!!wasilindwe akna Mo,Bakhresa nk tumia unbongo kufikil ww
Mie sio maarufu wala tajiri mwanangu yupo Tz wala sio sauzi. kwahiyo mwanangu yupo salamaWewe unamlinda mtoto wako?
Mie sio maarufu wala tajiri mwanangu yupo Tz wala sio sauzi. kwahiyo mwanangu yupo salamaWewe unamlinda mtoto wako?
Sihitaji kuuliza sababu naijua South na wewe usiamini kila kitu unachosoma kwenye internet usidhani kwa kuwa sisi tunamjua Almasi basi hata huko south ni maarufu kivile! NO masaa matano mtoto mmoja that means kila siku watoto 4-5 kwa mwezi watoto 120 heey wenaTakwimu zinaonesha kuwa kila baada ya masaa 5 mtoto mmoja anapotea/kutekwa SA. uliza uambiwe
NIMEKOMAKazi unayo LEO...
UTAJUTA kwanini umeshusha huu UZI..!
Sana, kwani kulemie nnuu??Waiiiii
Utaniwesa??
Sana, kwani kulemie nnuu??
Poa, usjali.Hayo mengine magumu magumu siwezi bana, mwisho wangu ni habari ya 4.
Poa, usjali.
Mie sio maarufu wala tajiri mwanangu yupo Tz wala sio sauzi. kwahiyo mwanangu yupo salama
inamaana Tz sio salama kabisa sikuhizi.?Mtoto wako yuko salama?duh ivi kila siku vitoto vinabakwa na kunajisiwa uswazi huku bado unasema mtoto wako yuko salama,hii nchi hata chizi anaweza kuiongoza maana imejaa mazwazwa tupu.