Wamefanya jambo jema sana!#TeamKiba
Sasa BABA YAKO anakufa na njaa inahusu nini hapa ??JazakaAllah kheri! Ila baba mzazi anakufa njaa
hongera aise
Mkuu acha kukurupuka, nazungumzia baba ake mzazi mtoa mchangoSasa BABA YAKO anakufa na njaa inahusu nini hapa ??
Kwani huyo baba ake unaishi nae unajua kila kitu iyo kufa na njaa si tungeshamzika toka siku nyingi kabla ata mwanae kuna starMkuu acha kukurupuka, nazungumzia baba ake mzazi mtoa mchango
Avatar yako nzuri sanaKwani huyo baba ake unaishi nae unajua kila kitu iyo kufa na njaa si tungeshamzika toka siku nyingi kabla ata mwanae kuna star