Diamond Na Ally Kiba kwenye Twitter

Diamond Na Ally Kiba kwenye Twitter

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
ALICHO POST DIAMOND KATIKA UKURASA WAKE WA TWITTER:

Nanukuu:

"Duh...! Nimesikia jamaa eti amejenga nyumba kafikia kwenye RINTA kashindwa kuimalizia kuficha aibu yake ameamua kujiunga
na ile taasisi inayotoaga mikopo isiyokua na RIBA inayoendeshwa na RIDHIWANI KIKWETE. Hii inaonesha muziki umekukataa dili zimebuma
shows zimekata mapesa yamekimbia. Duh Pole sana SINGLE BOY ALI KIBARAZA"

HAYO NDIO MANENO ALIYOANDIKA MSANII DIAMOND KATIKA TWEETER. ALIKIBA AKAMJIBU KAMA IFUATAVYO:

Nanukuu:

"Yote Maisha ndugu yangu, kuna matajiri duniani wanapesa nyingi lakini wanapanga foleni kwenye mabank kuomba
mikopo sembuse mimi Ali Kiba?! Kweli sikatai nimejiunga na SOCIAL CREDIT COMPANY na nimekopeshwa kwa faida yangu mimi na maisha yangu wewe kinachokuuma nikitu gani mpakaunakosa chakupost unazungumzia maisha yangu? Huwa sipendi Scandle kwa sababu wewe nakujua unapenda Scandle na kujibizana mitandaoni hizo ni tabia zakike. Kumbuka haya maisha kuna leo nakesho, maisha ni mzunguko wa sifuri wote tunazungukia sehemu moja. Kama kimekuuma mimi kujiunga na kupewa mkopo au umeona nafaidi sana nawewe jiunge ingia katika hii tovuti http://socialcredit.wapka.mobi ujiunge, mikopo haijaandikwa apewe masikini, tajiri au mtu maarufu wote sawa duniani na mikopo ndio kimbilio letu masikini kama wewe mwenzetu unajiona tajiri sawa ila sipendi kua unanizungumzia. Peace & Love."
 
Mmmh kama ni kweli poor domo personal life ya mtu ye inamuhusu nini. Kupata yeye anahisi amemaliza kila kitu, ni maisha tu akutakiwa kumsema hvyo mwenzie.
 
Huyo mondi kwanza nilimbukeni wa maisha na akumbuke pesa ni mzunguko na anatakiwa aangalie umri wake na pesa zake na ajiulize je hizo hela atafika nazo huko uzeeni?Au ni elimu yake ndogo ndo inayomsumbua.
 
Huyo mondi kwanza nilimbukeni wa maisha na akumbuke pesa ni mzunguko na anatakiwa aangalie umri wake na pesa zake na ajiulize je hizo hela atafika nazo huko uzeeni?Au ni elimu yake ndogo ndo inayomsumbua.

Shule nayo muhimu sana.....,

maana kuna badhi ya mambo inakufungua macho
 
Ni kawaida ya mtu maskini akipata zali wengi huwa na ngebe sana!ukizingatia na jinsi mabebs wengi wakali wanavyomshobokea Diamond na kiasi cha ukwasi tunaoambiwa anao,kibri lazima kitatangulia!Sisi tuliokamata dola zamani kisha zikatukimbia tunamuona kama limbukeni tu!Ndio maana wahenga walisema "maskini akipata m@t.ako hulia mbwata

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Domo angepataga shule kidogoo tu iboost brain yake angeondokana na adha nyingi sana
 
Hii propaganda tu haina ukweli. Weka link ya hiyo tweet.
Promo ya hiyo taasisi na Sijui kama ni taasisi ya ukweli
 
kisa cha yote haya ni mwanamke sijui ni mzuri kiasi gani
 
Back
Top Bottom