Diamond Na Ally Kiba kwenye Twitter

Aaaaa Domo nini tena umeniboaje we nyumba ipi uliyoimaliza,?mwache Ally k we fata yako nyooooook na domo lako
 
Diam0nd hajawahikuwa mjinga,kias hicho mimtu humu hta haijiongez kuwa ni ishu ya kutengenezwa,ndiyo maana hata haiongelewi,inaongelewa humu tu
 
Kama ishu ni ya kweli,basi namsifu Ali K kwa busara zake hakika atakuwa ameonyesha ni jinsi gani alivyostaarabika
 
Dada mondi aache wenge.... kama yeye yupo juu kwa sasa afanye kazi aachane na Ally.. ..thumb up single boy kwa majibu mujarabu....dogo bado ana wenge la kukosa collabo ya single boy......
 
diamond hawezi kuandika hivyo wala ally kiba hawezi kujibu hivyo.....
 
Ali Kiba kajibu vizuri sana anaonekana kuwa na busara kuliko Diamond aangalie historia za wanamuziki wakubwa duniani walivyofirisika eg Whitney Huston
 
Hayo yameandika kweli na Domo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
how could he STOOP SO LOW!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ally Kiba kamjibu vizuri sana
ka amekopa ye yanamhusu nini!!!!!!!!!!!

domo kumtumia mchawi wako usihisii kwamba wotte wanasangomaa
wengine ni juhudi zao na kutegemea munguuuu
 
diamond hawezi kuandika hivyo wala ally kiba hawezi kujibu hivyo.....


Mbona chanzo cha mzozo huu tulikwishakisikia redio one karibu miezi miwili iliyopita wakati watangazaji waki comment maelezo ya Ali Kiba kuhusu kukataa kufanya colabo na Diamond.
Hiki chanzo ni muda mrefu ndio imefuata majibizano katika Twitter. Kinachoonyesha ni kuwa baada ya kutanabahi kosa lake Diamond anarudi nyuma kutumia wapambe kuonekana kuwa hiyo ishu imepangwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…