Diamond na Davido wametajwa kuwa wasanii walioongoza kutafutwa na kumzungumzia kwa 2023

Diamond na Davido wametajwa kuwa wasanii walioongoza kutafutwa na kumzungumzia kwa 2023

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Hivi karibuni kumetoka report ya google kuwa msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz na Davido kutoka Nigeria ndio Wasanii walioongoza kufuatiliwa na kuzungumziwa kwa mwaka Huu kwa barani Africa.

1681460926473.png
 
NASUBIRI KOMENTI ZA WENYE WIVU, HUSUDA NA CHUKI DHIDI YA WALIOFANIKIWA
 
Back
Top Bottom