DIamond na Davido wanakuja na kitu hiki..............

DIamond na Davido wanakuja na kitu hiki..............

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Sote tunafaham uwezo wa hawa watu kimziki ingawa wanazidiana ukubwa wa majina
Davido akiwa i msanii mkubwa kabisa Afrika na duniani.
ambapo anasumbua na wimbo wake wa SKELEWU pamoja na dancing style yenye jina hilo hilo la SKELEWU
skelewu.jpg
Pamoj na Diamond anaetamba na wimbo wake wa number one ambao ndani yake kuna dancing maarufu ya ngololo
.Vichwa hivi vilikutana jumamosi ya week iliyopita kabla ya show ya fiesta nakukubaliana watengeneze kitu kimoja,ngololo na skelewu waweke ndani ya truck moja..ndipo wakafanya remix ya number one..
diamond akimwelekeza davido maneno ya kiswahili.jpg
(photo by heaven)
kesho Diamond ataruka to Naija kumfata Davido kwa ajili ya kutengeneza video na kwa maneno ya Davido mwenyewe baada ya kuusikiliza wimbo alieleza ni kias gan utasubmua sana nchini mwake Nigeria na Africa kwa ujumla..
stay waiting kuna vitu vizuri saaana vinakuja toka kwa Diamond ambapo kuna collabo nyingine kafanya na msanii mwingine nyota wa Nigeria..
Mungu mbariki boss wangu..
Mungu ibariki bongo fleva izidi kupaa...
 
Inaelekea katika maisha yako yote hukuwai kupata kazi........ndo umepata kazi sasa imekuwa shida.
 
Back
Top Bottom