Diamond na Gari lake Jipya

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
VideoFUPI: Je Diamond katimiza ahadi yake

Moja kati ya stori zilizoingia kwenye headlines siku ya February 1 2016 ni hii ya msanii wa Bongofleva na CEO wa record label ya Wasafi Classic Baby (WCB) Diamond Platnumzkuweka wazi kuwa kabla ya mwaka 2016 kumalizika atanunua gari aina ya Rolls Royce.

Kupitia account yake ya instagram usiku wa August 30 Diamond Platnumz alipost clip video ya Rolls Royce yenye kivuli cha sura yake, inawezekana Diamond akawa ametimiza ahadi yake ya kumiliki gari hilo kabla ya mwaka 2016 kumalizika, kama Diamond atakuwa kanunua gari hilo atakuwa ni mtanzania wa pili anayefahamika kumiliki Rolls Royce baada ya makamu mwenyekiti wa zamani wa YangaDavies Mosha.

Baadhi ya mastaa Afrika wanaomiliki gari aina ya Rolls Royce ni Koffi Olomide na staa wa soka wa zamani wa Arsenal Emmanuel Adebayor ambaye kwa sasa anaichezeaCrystal Palace, bado haijajulikana Rolls Roycealiyopost Diamond ni toleo la mwaka gani ila stori kutoka autoguide.com inaeleza kuwaRolls Royce inauzwa zaidi ya dola laki 3 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 600 pia inategemeana na toleo
 
Lile prado jeupe kamuachia nani? Au kalichoka kwakua nay wa mitego na madee wanalo
 
Daaaahhh hongera zake kama ni hivo,,, azidi tu kusaka pesa asichoke
 

Mkuu, Omary Bakhresa kaendesha hiyo gari mwaka 2014.
 
Maisha ndio haya haya.... Ukipata tumia na ukikosa jutia...
 
Aliyo post Diamond ni RR Ghost ya Mosha ni RR Phantom
.ila bdo ni mapema sana kuamin mondi kachukua mchuma japo alisema mwaka huu lazma avute RR
 
Uwezo wa kununua hilo gari anao,ila tu kodi kizungumkuti itamshinda tuu kwa kweli yaani wanatukomoa Ktk ushuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…