Diamond na Gari lake Jipya

Waswahili walisema "Mali bila daftari, hupotea bila habari".

Ushawahi kusikia hiyo methali?

Unafahamu asset na liability zinahusikaje hapo?
 
Haya nenda kasome tena nlipokuqoute pale uliandika nini.
Ni maoni tuu mkuu nimetowa cos wengine wanasema hana huo uwezo kabisa,samahan kama nimekukwaza wangu,just take easy...
 
Waswahili walisema "Mali bila daftari, hupotea bila habari".

Ushawahi kusikia hiyo methali?

Unafahamu asset na liability zinahusikaje hapo?
Nimeshaisikia, na ninaitumia sana kwenye shughuli zangu, na uenda hata DIAMOND anaitumia hiyo kanuni na ndio maana kila siku anakuwa kimuziki na kimaisha. Hasingekuwa anaitumia hiyo kanuni nadhani tungeshamsahau siku nyingi.
 
Mtu anayeitumia hiyo kanuni hawezi kununua Rolls Royce kwa usawa huu.

Labda kama kapewa kutangaza biashara.

Hiyo migari ukija kulipa kodi hapa sishangai ikifika zaidi ya USD 500,000
 
Mchina hatengenezi kweli hilo? Enzi za Hummer mchina nae alifyatua umaarufu wa Hummer sasa umefifia.
Wachina wana aina zao tofauti...zinashindana sokoni
 
Mtu anayeitumia hiyo kanuni hawezi kununua Rolls Royce kwa usawa huu.

Labda kama kapewa kutangaza biashara.

Hiyo migari ukija kulipa kodi hapa sishangai ikifika zaidi ya USD 500,000
Upo sahihi kabisa
 
Mimi wa mkoani, ila hiki ulichokiandika hakihusiani na wanaume wa Dar ila kina sound kama wivu mtokoto vile.....
Acha kukimbia kivuli chako na wewe ndio wale wale wala chips mayai na virigisi na haumalizi unasema eti umeshiba yaani mna shida nyie wa huko DSM
 
Mtu anayeitumia hiyo kanuni hawezi kununua Rolls Royce kwa usawa huu.

Labda kama kapewa kutangaza biashara.

Hiyo migari ukija kulipa kodi hapa sishangai ikifika zaidi ya USD 500,000
"KWA USAWA HUU" sio hali ya watu wote,jisemee kwa nafsi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…