Diamond na Manara wasimulia walipokuwa kwenye Helicopter kabla ya kutua Uwanja wa Mkapa

Diamond na Manara wasimulia walipokuwa kwenye Helicopter kabla ya kutua Uwanja wa Mkapa

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Haji Manara " Bugatti" ameandika

"Shughuli ilikuwa hapa, Dua alizosoma Nassib sio za nchi hii, hakuacha Dua hadi helicopter ilipotua, sasa wakati chuma kinakata kona kuingia kwa Mkapa,, Nassib aliwataja watoto wake wote majina,, nikasikia kina latifa na Nilan Wanatajwa kiarabu, jamaa ndio maana tulivotua tu akatoka baruti😜😜"

Alichojibu diamondplatnumz
"hahahahahahahh kwakweli wakati helicopter inaanza kuingia Uwanjani sikuwa na amani kabisa... Nlikuwa naona kama anaweza kugonga Paa za Uwanja zile😂😂😂😂

FB_IMG_15983386040213900.jpg

Weka comments yako hapa??
 
Huyu Domokaya kwa kuiga tyuuh hajambo, hadi anakera msieeeeeeew
 
Kuna uzi kule naona wamekushambulia kisawa sawa, wakati sio wewe Umependa hata. [emoji848]
Mkuu wee acha tyuuuh yaan, uzi una muhusu mwingine lakini nilizungumziwa mie uzi mzima lol, ila usijar maisha ndivyo yalivyo binadamu hawakosi cha kizungumza na uhuru n wao kusema watakacho.
Kikubwa n kuishi kulingana na matakwa binafsi pasipo kuangalia watu wa nje.
 
Jitahidi utafute dume la marekani mkuu. Kule kila kitu utapata, hata uraia utapata kwa haraka, Kule ni haki yako
 
Back
Top Bottom