Diamond na mrembo lyyn watukanana mtandaoni kisa mapenzi

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Msanii nyota wa bongo fleva diamond platnumz ameajikuta akitukanana na mrembo lyyn Ni video vixen
Diamond amemtuhumu mrembo huyo kutaka kuwatenganisha na mpenzi wake tanasha, daimond amepost akimtuhumu mrembo huyo kumtumia picha za kumshawi. Hii imetokana na baada kuvuja picha ikionyesha mrembo lyyn akiwa kwenye kitanda ambacho pia amekuwa akilala mrembo tanasha kutokana Kenya.
Mrembo lyyn nae amemjibu diamond kwa kusema ataachia video Kama ushahidi ili diamond aache ushamba na kuwa mtu mavimavi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dee anaogopa ua jeusi au? Ila demu wake anamuamini 100%. Naye kaamua kumuaminisha..

Ila lini mtu anaforward picha zake alizosevu au anakuwa ametumiwa na nani na ndio amfowadie anayemsumbua!!!! Au kutoka kwa mpiga picha?

Zile apps za kutengeneza chat feki zitawahusu mbeleni.. akirusha ya namba mnitonye nisome udaku nicheke nisizeeke mie
 
Bwana mwakito hadi huruma jamani CHEZEA UA JEUSI MPAKA MATUNGULI YANAMBAMBA. NYOOO KAZOEA KIKI ILA SAFARI HII IMEBUMA PTUUUUUUUU LA USONI

#ikikuumamezawembe#
#ukitakashariniquoteuonemfyuuuuuu#
 
Bwana mwakito hadi huruma jamani CHEZEA UA JEUSI MPAKA MATUNGULI YANAMBAMBA. NYOOO KAZOEA KIKI ILA SAFARI HII IMEBUMA PTUUUUUUUU LA USONI

#ikikuumamezawembe#
#ukitakashariniquoteuonemfyuuuuuu#

Ndugu Mwakitombe Yamemkuta

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bwana mwakito hadi huruma jamani CHEZEA UA JEUSI MPAKA MATUNGULI YANAMBAMBA. NYOOO KAZOEA KIKI ILA SAFARI HII IMEBUMA PTUUUUUUUU LA USONI

#ikikuumamezawembe#
#ukitakashariniquoteuonemfyuuuuuu#
😂 😂 😂!
 
afu diamond anaanzaga hivi hivi na rumors then hata mwaka hachukui chaliii tayari anagonga mwengine.
 
Write your reply...sasa hapo mbona chibu hana hasara??
hilo Malaya halioni hata aibu lilishagongwa afu limetemwa na bado anamuita mgegedaji mshamba??

mgegedwaji na mgegedaji nani mshamba??
 
Hili ndio tatizo la kuokota okota ovyooo
 
punguza umbea.
 
Write your reply...sasa hapo mbona chibu hana hasara??
hilo Malaya halioni hata aibu lilishagongwa afu limetemwa na bado anamuita mgegedaji mshamba??

mgegedwaji na mgegedaji nani mshamba??
Halijui kama lenyewe ndio linachoreshwa hahahahahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…