Diamond na Ommy Dimpoz tuzo za AFRIMMA

G_real

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
684
Reaction score
855
Hongera sana Diamond [emoji119] kwa kunyakua tuzo umeendelea kuonesha umwamba wako kwenye muziki. Huyu jamaa inatakiwa aheshimiwe tu ametutoa mbalii saana kimuziki.

Hongera na Ommy Dimpoz best East Africa Male [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji16]


 
Hii tuzo ya Ommy Dimpoz mbona haieleweki

Best East Africa male!!!?

Kwamba hakuna mwanaume kama yeye afrika mashariki
Absolutely no [emoji23][emoji23]
 
Hii tuzo ya ommy dimpoz mbona haielewek

Best East Africa male!!!???????

kwamba hakuna mwanaume kama yeye afrika mashariki
Absolutely no [emoji23][emoji23]
Umewaza mbali saaana
 
Hiyo tuzo ya ommy siielewi alipewa kwa makosa au alihonga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…