heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Diamond amekiri kwamba ni kweli kamnunulia Penny gari kwa sababu anaelekea kuwa mama watoto ambapo namkariri akisema "nilimuuliza gari gani anapenda, nimemuagizia iko njiani inakuja siwezi kusema ni bei gan ila kwa sasa anatumia la muda wakati akisubiria gari lake"
kuhusu kumuoa na kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, Diamond amejibu "siwezi kusema lini ila Mwenyenzi Mungu ndio anajua inaweza ikawa harusi ila kuna time inafika inabidi utulie, siwezi kusema chochote kwa sababu inawezekana
mtoto akazaliwa ndani ya ndoa pia "
HIYO PICHA NI MFANO WA GARI ILIYOAGIZWA
Peny na diamond ni wabunge wa majimbo gani kwani?
Diamond amekiri kwamba ni kweli kamnunulia Penny gari kwa sababu anaelekea kuwa mama watoto ambapo namkariri akisema nilimuuliza gari gani anapenda, nimemuagizia iko njiani inakuja siwezi kusema ni bei gan ila kwa sasa anatumia la muda wakati akisubiria gari lake
kuhusu kumuoa na kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, Diamond amejibu siwezi kusema lini ila Mwenyenzi Mungu ndio anajua inaweza ikawa harusi ila kuna time inafika inabidi utulie, siwezi kusema chochote kwa sababu inawezekana
mtoto akazaliwa ndani ya ndoa pia
HIYO PICHA NI MFANO WA GARI ILIYOAGIZWA
Peny na diamond ni wabunge wa majimbo gani kwani?
Diamond amekiri kwamba ni kweli kamnunulia Penny gari kwa sababu anaelekea kuwa mama watoto ambapo namkariri akisema "nilimuuliza gari gani anapenda, nimemuagizia iko njiani inakuja siwezi kusema ni bei gan ila kwa sasa anatumia la muda wakati akisubiria gari lake"
kuhusu kumuoa na kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, Diamond amejibu "siwezi kusema lini ila Mwenyenzi Mungu ndio anajua inaweza ikawa harusi ila kuna time inafika inabidi utulie, siwezi kusema chochote kwa sababu inawezekana
mtoto akazaliwa ndani ya ndoa pia "
HIYO PICHA NI MFANO WA GARI ILIYOAGIZWA
he si hajasema ameagiza gari gani?sa we nakili ya picha umetoa wapi?
enheeee hapa sasa ndo nimeamini!
eti nianze tu kuamini maneno ya 1000 words !miimi yani kutwa kuzima nimwamini mtu ambaye siyo chanzo cha kuaminika!aaaah wap!
mi naamini verified sosi bana!
unaona sasa we umekuja na picha ya mfano!yule 1000 words alikuwa anatupiga fiks tuuu hapa!
mi nilikataa kabisa kumuamini ujue!ilikuwa lazima wewe ndo useme mi ndo nikubali kuwa YEP!kitu mule mule!
habari hii imfikie BADILI TABIA popote alipo! Matola kuja uone watu wanavotetea ajira zao Ruttashobolwa mwanafunzi wangu hii teaching aid isikukose(we ulikuwa unajua mfano wa gari atakalonunuliwa mama kijacho wewe! Evelyn Salt hii pana kukupita wewe bana!
saaasa heaven on desert mtoto amekaa vizuri kwa tumbo?
mi hata sijui!enheeee hapa sasa ndo nimeamini!