mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,363
- 223
sidhani kama kweli ulim-zantel Wema, action people dont talk the ones who talk ...Mungu anibariki nilisha mpinga huyo wema nyuma na mbele ni wakawaida sana! Ila aongeze bidii mapenzi hayawezi kwenye 6x6!
mmmmh ! Bila shaka humu wanaochangia na malooser wamo!Mungu anibariki nilisha mpinga huyo wema nyuma na mbele ni wakawaida sana! Ila aongeze bidii mapenzi hayawezi kwenye 6x6!
Unaona ajabu sana? Unadhani haiwezekani?sidhani kama kweli ulim-zantel Wema, action people dont talk the ones who talk ...
Uzuri wa wema hafichi mapenzi kwa mtu anayempenda, Kwa nini watu hamtaki kuongelea mazuri ya wema, kuna demu hapa bongo ambaye hajawahi kuwa na mahusiano na zaidi ya wanaume watatu katika miaka mitatu.
Mungu anibariki nilisha mpima huyo wema nyuma na mbele ni wakawaida sana! Ila aongeze bidii mapenzi hayawezi kwenye 6x6!
bahati ya mwenzio usilale mlango wazi, l wish u all the best.
Wema, aache ukurumbembe, kuchumbiwa ni jambo la heri. Dada zake wengi wametamani kuipata chance hiyo lakini haijawatokea, she is lucky.
Sasa ajifunze kusali na kumtegemea Mungu, cheap popularity aachane nazo kabisa.
Uzuri wa wema hafichi mapenzi kwa mtu anayempenda, Kwa nini watu hamtaki kuongelea mazuri ya wema, kuna demu hapa bongo ambaye hajawahi kuwa na mahusiano na zaidi ya wanaume watatu katika miaka mitatu.
Wema ana watoto wangapi?umri wa wema na diamond ikoje?anayejua amwage data hapa maana naona diamond bado ni mtoto anabakwa tuu na wema