Mbona wanawake wa TZ mnamchukia sana Zari??Strong woman sijui ana hali gani uzee kauanza vibaya mweee!!!!
Hahahahahah ninunulie benten madam na mimi nitese mjini[emoji2] [emoji2] [emoji2] team Zari watatukanaaa mwisho watashusha silaha chini !!!maana kunguru hafugiki
Hata wewe pia ticha ukikaa vibaya anapita wewe!Heloo!
Yule mrembo anaitikisa kwenye baadhi ya video na show off za instagram Tunda yasemekana yupo kwenye mahaba mazito na nguli wa bongo fleva baba Dylan aka baba Tiffah dangote.
Wawili hao yasemekana wanakwichikwichi mpaka kufikia hatua kuyafanya mambo hadharani kule Madale a.k.a state house.
Na leo hii Tunda yaonyesha anaelekea Rwanda ambapo Mondi nae anafanya show huko huko.
Diamond kula ujana baba ili ulizeeka upate vya kusimulia!
Na wagonge wote tu wakijileta!
Bado sana wewe!
Chuki iko wapu hapo?Mbona wanawake wa TZ mnamchukia sana Zari??
Sasa unamuita mzee kwa kigezo gani?? Ina maana kazeeka mno miaka 34?? Acheni chuki. Halaf naona waschana wengi mnamuandama huyu inocent speechless girlChuki iko wapu hapo?
Kwakwakwakwakwaaaaaa kwa hiyo kumuita mtu Mzee ni kwamba unamchukia heheheheeee uwiiiiiiiii karibu madale guest houseSasa unamuita mzee kwa kigezo gani?? Ina maana kazeeka mno miaka 34?? Acheni chuki. Halaf naona waschana wengi mnamuandama huyu inocent speechless girl
Achana nao wanamuonea wivu tu. Hawa wa kibongo wanasubiri kugongwa tu.Sasa unamuita mzee kwa kigezo gani?? Ina maana kazeeka mno miaka 34?? Acheni chuki. Halaf naona waschana wengi mnamuandama huyu inocent speechless girl