Diamond na Tunda mahaba niue

Ivi Diamond anatoa lini wimbo wake na Omarion maana kwa hii trend ya kulazimisha aandikwe tu siku za karibuni nahisi anatafuta pumzi ya kuachia wimbo sio bure.
 
Ni kweki she is the best ukilinganisha na wale watoto lakini ndo mwanaume wake anaomcheat nao sasa. Huwezi kukaa kwenye relationship kama hiyo kisa watoto jamani. Mtu unatakiwa ujithamini kidogo khaaah.

msitudangaje ooho sababu watoto kwani wale wa Ivan ni ng'ombe shubaamit !
 

sawa shaka umeeleweka
 
So sad hii sio ushindi wala sio ufahali.Ata Carlos the Jackal alitesa wee tena sana! Finali uzeeni!
 
dah kumbe wewe ni mwanamke?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mama watoto sita jamaniii na ana ujukuuu mtoto wa kwanza anaitwa jamilaa

Speecheless girl[emoji1] [emoji1] [emoji1] who?
Bora yeye aliyezaa sita kuliko ninyi mlizozitoa kumi chooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…