Diamond na Tunda mahaba niue

Ni kuwa tu hawezi kusema wazi kakini moyoni ana mkumbuke Ivan
 
Kwakwakwakwakwaaaaaa kwa hiyo kumuita mtu Mzee ni kwamba unamchukia heheheheeee uwiiiiiiiii karibu madale guest house
Zari ana 49 ,2000 alikua ana 31 hesabu mpaka leo
 
Zari kazaliwa mwaka 1980. Mwaka mmoja na mange kimavi.
Tena kimavi alitangulia kuzaliwa yeye. Kwa ufupi mange ni mkubwa kuliko zari.
 
Zari kazaliwa mwaka 1980. Mwaka mmoja na mange kimavi.
Tena kimavi alitangulia kuzaliwa yeye. Kwa ufupi mange ni mkubwa kuliko zari.
Kaaazi kweli kweli
 
Ivan Semwanga was a Ugandan-born South African socialite. He was one of the members of the self-styled Rich Gang group well known in both South Africa and Uganda. Wikipedia
Born:
December 12, 1977, Kayunga, Uganda

Then ivan died akiwa na umri wa miaka 40

Ila kuna watu wanasema zai ana miaka 49 ina maana zari alimzidi umri hata ivan?

Jealous kills jaman duh

Zarinah Hassan
Diamond Platnumz's wife
Born:
September 23, 1980 (age 37), Jinja, Uganda
 
Mama ake zari amezaliwa 1958/9 sikumbuki vizuri. Watu ni visa tu
 
Haters bana wanachukia hadi vitu ambavyo maishan mwao vimewatokea ila kisa wana fake ID's baasi kwao maisha mtelemko kila kitu chao kipo perfect.
Mama ake zari amezaliwa 1958/9 sikumbuki vizuri. Watu ni visa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…