Diamond na Vanessa wamekuwa nominated kwenye tuzo za African Entertainment Awards

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Ni tuzo za African entertainment awards za marekani zitakazofanyika October.

Diamond amekuwa nominated categories mbili ambazo ni

BEST MALE ARTIST
Akichuana na Wizkid, Fally ipupa, Sarkodie, na Eddy kenzo

BEST SINGLE OF THE YEAR MALE (nitampata wapi)
Akichuana na Davido (aye), Fally ipupa (original), Dillon francis (get low), R2bees (lobi)

Na Vanessa Mdee amekuwa nominated kama

BEST FEMALE ARTIST
akichuana na Yemi alade, Brucie, Victoria kimani

=========================
Kwa pamoja tuwape support wawakilishi wetu kwa kuwapigia kura..Upigaji kura ni kupitia tovuti yao na utafungwa AGOSTI, 30...
INGIA HAPA KUPIGA KURA

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇
https://www.surveymonkey.com/s/VOTEAEA2015
⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆

NB;
✔Hakikisha unatumia browser ndio haisumbui,
✔Kupiga kura haina kikomo zaidi ya mara moja
✔Hatua zake ni kuchagua kama ilivyo kwenye categories walizokuwa nominated, baada ya hapo chini kabisa unamalizia vote..



 
All the best VaneMond.!

Jina la Tanzania libaki kuwa juu daima kwenye Music. Vipi jirani zetu Kenya pale hawajawa Nominated huko.?

BACK TANGANYIKA
 
All the best VaneMond.!

Jina la Tanzania libaki kuwa juu daima kwenye Music. Vipi jirani zetu Kenya pale hawajawa Nominated huko.?

BACK TANGANYIKA

kwenye best group of the year wapo sauti sol, ukiingia kupiga kura utaouna category zote
 
Ndugu zangu naomben msaada jinsi ya kupost hum maana naishia kukoment tu.asanten
 
Hongera nyingi kwenu

Nimejisahau duh yamebaki masaa 3 au chini ya manne yakupiga kura za MTV, ngoja niwahi kupiga.
 
Ohhhh anabebwa na collabo ohhhh mziki wa kinigeria blah blah nyingi , haya hapo imeingia #ntampatawapi ongeeni sasa!

Congratulations Chibu &Vanessa. To be nominated is a half winning!
 
Hard work pays.. I wish them good, acha wengine wasubiri mpaka parapanda itakapolia..?!
 
Oyooooooooooo!!nimepiga kura mtv mama mpaka second ya mwishooooo
 
Oyooooooooooo!!nimepiga kura mtv mama mpaka second ya mwishooooo

Good... tuhakikisheni tunazichukua hizi mbili zote..

Afu design kama wamemkubali chibu tayari, kawapa followers na kuonyesha ana appreciate suala ambalo mastaa wakubwa wengi hawafanyi wenyewe wakiweka macho mtv pekee,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…