Good... tuhakikisheni tunazichukua hizi mbili zote..
Afu design kama wamemkubali chibu tayari, kawapa followers na kuonyesha ana appreciate suala ambalo mastaa wakubwa wengi hawafanyi wenyewe wakiweka macho mtv pekee,...
Oyooooooooooo!!nimepiga kura mtv mama mpaka second ya mwishooooo
k yeye type zake ni zile tuzo za kariakoo na manzese
haya maneno ya shombo ndo mnamuharibia diamond watu wasimpigie kura, diamond anahitaji kura za mashabiki wote acheni uchochezi wenu
Wewe si nikishakuambia usiwe unani mention kipumbavu? Wew ni ndumilakuwili wajidai mwema kumbe unakula huku unapuliza huku. Kawa nominated so what?Evelyn Salt Matola Chinga One cute b atoto mzurimie pwilo Diva Beyonce miss lincoln Avemaria chige abou sydou Bint kiziwi nifah Umoja ni nguvu jamani... kwa pamoja tushirikiane kupiga kura tulete ushindi nyumbani..
aaaaaarg... sio case, hata hivyo si nimekuwekea link hapo juu ya kupiga kura? ni vizuri hata nimekukumbusha kumpigia kura davido..Wewe si nikishakuambia usiwe unani mention kipumbavu? Wew ni ndumilakuwili wajidai mwema kumbe unakula huku unapuliza huku. Kawa nominated so what?
Bado sijawa mzalendo so usiniite kwenye upuuzi siku nyingine. Bado nitavote for Davido au jiwe.
Ng'ata ulimi kama umeumia.
Mbona nikivote hicho kitick hakina option ya ku cancel ili ni vote tena?oya wadau eeeeh, nimepata updates hizi kura unapiga bila kikomo, ni wewe tu na kufurushi chako cha chuo mpaka chaji iishe....
Evelyn Salt Matola Chinga One cute b atoto mzurimie pwilo Diva Beyonce miss lincoln Avemaria chige abou sydou Bint kiziwi nifah Umoja ni nguvu jamani... kwa pamoja tushirikiane kupiga kura tulete ushindi nyumbani..
Wewe si nikishakuambia usiwe unani mention kipumbavu? Wew ni ndumilakuwili wajidai mwema kumbe unakula huku unapuliza huku. Kawa nominated so what?
Bado sijawa mzalendo so usiniite kwenye upuuzi siku nyingine. Bado nitavote for Davido au jiwe.
Ng'ata ulimi kama umeumia.
Huyu jamaa sijui ni aje!
Nshasema mi sina muda wa kuvote for Diamond na hilo liko wazi sasa nashangaa jitu linanimention mention tu.
Kama umoja ni nguvu waunganishe za kwao zinatosha! Kheee!!!
Bora ni wew useme.
Anajishaua vote vote fo domo sijui uzalendo sijui nini na kuomba msaada kwa kuita watu wa vote na wakati anajua wazi palipo davido lazma nimvotie.
Nilishamwambia sintokaa nivote for domo ni bora ni vote for stone au kuacha kabisa lakini haelewi anazani nishakuwa mzalendo eee.....
Tena asisumbue watu NIPO LINDO NALINDA TEMBO
Chuki haijengi...
Habari njema wadau...
Upigaji kura tuzo za Nigerian Entertainment Awards umefunguliwa rasmi hii leo..
Diamond anawania kipingele cha best African artist (ambacho ni mahususi kwa wasanii nje ya nigeria) .. Hivo basi tupige kura huku ni rahisi kinoma, unapiga kura mara moja tu!! kipengele chake ni cha kwanza, una click kwenye tick na ikiwa ya kijani inamaana kura imepokelewa (hakikisha kutumia browser)
link hii
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇
Vote | Nigerian Entertainment Awards
⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
Hivi huyu Vanessa ana nyimbo ngapi!? Mbona anapata shavu sana..
Kwa mnaomjua ni nini ubora Wa huyu msanii!?
Chuki haijengi...
Habari njema wadau...
Upigaji kura tuzo za Nigerian Entertainment Awards umefunguliwa rasmi hii leo..
Diamond anawania kipingele cha best African artist (ambacho ni mahususi kwa wasanii nje ya nigeria) .. Hivo basi tupige kura huku ni rahisi kinoma, unapiga kura mara moja tu!! kipengele chake ni cha kwanza, una click kwenye tick na ikiwa ya kijani inamaana kura imepokelewa (hakikisha kutumia browser)
link hii
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇
Vote | Nigerian Entertainment Awards
⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆