Asanteeeee ngoja nikavote mie
Me too!karibu siku kuu,kuku wakutosha leoo
Asanteee, ila nna swali wasanii wakubwa wote wa afrika wanasherehekea sikukuu south, ivi na king kaenda au ye sio msanii mkubwa?
Ahahaa yeye hapendi kiki wala sifa!anasheherekea kwao na familia yake,teh!teh!teh!
Teh teh teh,, basi vizuri ni baba bora😂😂
Ni tuzo za African entertainment awards za marekani zitakazofanyika October.
Diamond amekuwa nominated categories mbili ambazo ni
BEST MALE ARTIST
Akichuana na Wizkid, Davido, Fally ipupa, na Eddy kenzo
BEST SINGLE OF THE YEAR MALE (nitampata wapi)
Akichuana na Davido (aye), Fally ipupa (original), Dillon francis (get low), R2bees (lobi)
Na Vanessa Mdee amekuwa nominated kama
BEST FEMALE ARTIST
akichuana na Yemi alade, Brucie, Victoria kimani
=========================
Kwa pamoja tuwape support wawakilishi wetu kwa kuwapigia kura..Upigaji kura ni kupitia tovuti yao na utafungwa AGOSTI, 30...
INGIA HAPA KUPIGA KURA
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇
https://www.surveymonkey.com/s/VOTEAEA2015
⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
NB;
✔Hakikisha unatumia browser ndio haisumbui,
✔Kupiga kura haina kikomo zaidi ya mara moja
✔Hatua zake ni kuchagua kama ilivyo kwenye categories walizokuwa nominated, baada ya hapo chini kabisa unamalizia vote..
Kwa sasa Diamond ndio msanii anayetoa video kali na zinazopendwa kuliko msanii yoyote kwenye ukanda wa Africa mashariki na kati .
Ni msanii anayeongoza kuingiza pesa nyingi kupitia social media kuliko wote Africa.
Ndio msanii anaeongoza kwa video zenye viewers wengi kwa sasa Africa yote .
Ndio msanii anaeongoza kwa show zenye mvuto zaidi kwa sasa,haswa upande wa kucheza Africa yote.
Ndio binadamu- anaeongelewa kuliko binadamu- wote ukanda huu wa maziwa makuu.
Girlfriend wake Zarithe bossylady ndio mwanamke anaefatiliwa na kuongelewa kuliko mwanamke yoyote East Africa.
Mtoto wake Chibu Junior ndio mtoto anaesubiliwa kwa hamu kuliko watoto wote Africa na hii ni kabla ata ajazaliwa. Ndio mtoto anaeongelewa zaidi ,amevunja rekodi ya mtoto supastaa Sasha wa Sugu na Faiza .
Dancers wake ndio madensa wanaotengeneza pesa ndefu kuliko madensa wote Africa. Wanatengeneza pesa kuliko mastaa wengi tu .
Mpiga picha wake professional kifesi ndio mpiga picha aliyepiga picha nyingi zaidi msanii tangia nchi ipate uhuru . Na ndio photographer aliyesafiri nchi nyingi zaidi kushinda ata issa michuzi- ,ameshagonga passport tisa mpaka sasa.
Huyu ndio Diamond chui wa tandale.
Ni msanii wa kipekee tangia nchi kupata uhuru aliyepata mafanikio ya aina yake.
Ndio maana kila anachogusa Diamond Platnmz kwa sasa kinageuka almasi.
hizo sifa du
Best male davido hayupo mkuu
Eee banah!na mwaka huu zile tuzo za family mpaka tuzipate
Best male davido hayupo mkuu
Daah kweli nilikosea mkuu wacha nirekebishe.. Afu si unaona tunavote two in one??
Afrimma nao wanatangaza nominations jumatatu tar 20, nina predict diamond atapata nominations si chini ya 3
Ngoja ñikuongezee hapo
+ Unajuwa Aka kamshirikisha diamond kwenye wimbo wake.. walirekodi tokea may mwaka huu, na humo ndani aka amefanya na kuimba kidogo.. Mzigo utadondoka sio mda, hayo yameongelewa jana mtv mama press conference AKA ft. Mr. Icon
+Jana kwenye press conference Dbanj alivyokuwa anampa sifa chibu dangote, akasema ànafanania sana level za mbele so akipiga collable na wakina Chrisbrown, TI hivii itakuwa booooom...
+Mtv mama inawashiriki wengi sana
Unafikiri kwanini Diamond ndio msanii pekee wa East Africa aliyeitwa kwenye press conference??
Jaribu kufuatilia media za mtv bade twitter na insta inaonyesha wazi diamond anawa outshine wenzake wote kwa kuongelewa
+Hivi hiyo show itayopigwa leo ya nana itskuwaje.. Best live acts wa Africa wanapokuwa on stage kwa pamoja? afu nana kwa stage atakuwa mwanadada Bonang kutokea South africa, ambae pia ni nominee wa Best personality
Yeah davido hayupo
Hahahaaaaa lazima tuzikusanyee
Poa n zile NEA awards Una link ya kuvotia
uuuuwii can't wait can't wait OMG!!ni MTVbase ndio watarusha eenh?!
Tune in kuanzia saa nne usiku Mtv base na BET