Diamond na Vanessa wamekuwa nominated kwenye tuzo za African Entertainment Awards

Tune in kuanzia saa nne usiku Mtv base na BET

Guuuudooooo!!yaani hapa sijui nianze kupiga kura wapi jamani
NEA,UEA,USA khaaaa kama kuna zingine nimesahau mtanikumbusha jamani maaa ni nyingi mpaka nimepagawa?!
 
Wanaonyesha bet ipi ile yenywe ch. 129 au bet 2

nahisi itakua ni hiyohiyo 129 maana ile 135 BET2 iko kweye package ndogo na hawa jamaa wanapenda sana pesa,sidhani kama itaonyeshwa 135
 
Diamonds are forever endelea kukinukisha kijana yani kama lembe
 
Guuuudooooo!!yaani hapa sijui nianze kupiga kura wapi jamani
NEA,UEA,USA khaaaa kama kuna zingine nimesahau mtanikumbusha jamani maaa ni nyingi mpaka nimepagawa?!

UEA tumesha chukuwa isikupe tabu..

Challenge kubwa ni kwenye hizi mbili zilizobaki kwa sababu ndio tunaanza, na bado wengi hawajapiga kura
 
UEA tumesha chukuwa isikupe tabu..

Challenge kubwa ni kwenye hizi mbili zilizobaki kwa sababu ndio tunaanza, na bado wengi hawajapiga kura

Nikweli mkuu kule UEA mi najua tumeshashinda ila USA na NEA kazi ya ziada ipo!!itabidi Tupige sana kura
 
DSTV
+MTV channel 130
+MTV BASE channel 322
+BET channel 129

wale wa star tv tutasimuliana hahahaha

Exactly!!!itabidi ikifika saa nne usiku inshaallah,twende kwenye diamond fans special thread tuweke live updates!haijalishi kama tutashinda au lah!nakutegemea
 
Proudly tanzanian!forever and ever i will remain mtanzania mzalendo,will never deny myself!
 
DSTV
+MTV channel 130
+MTV BASE channel 322
+BET channel 129

wale wa star tv tutasimuliana hahahaha

mbona hizo za nijeria hiyo arrow ya green sijaiona, rather lile neno VOTE ndilo nimeturn into green, nielewesheni nisijedhania nimeshasubmit kura yangu kumbe bado nitaumwa mimi.
 
Tuzo hizo ni nyepesi sana hazina hadhi ndiomana hata wizkd kamuaachia mtoto wa uncle wake azipost insta ila siyo yeye.
 
Tuzo hizo ni nyepesi sana hazina hadhi ndiomana hata wizkd kamuaachia mtoto wa uncle wake azipost insta ila siyo yeye.

wenzako tunazishabikia hatariiiii, na tukizibeba, mjini patakuwa na heka heka, manake le Prezidaa si atatandikiwa zulia toka airport mpaka tandale sasa???? si unajua tena anavyopendwaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…