Itakuwa poa Sana tutashangilia humu humu
Itakuwa live stream tukio zima la mtv mam hapaa
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇
http://www.mtvbase.com/news/watch-the-mtvmama2015-live-online/a10bjh
wenzako tunazishabikia hatariiiii, na tukizibeba, mjini patakuwa na heka heka, manake le Prezidaa si atatandikiwa zulia toka airport mpaka tandale sasa???? si unajua tena anavyopendwaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
Asante bestie kushangilia humu hakuzuiliki ni lazimaaaa
hana lolote hamuwezi linah hata kidogo semab ye anapata shavu sababu ya jina lake coz anafanya kazi mtv base as a presenter thats y nothing elseHivi huyu Vanessa ana nyimbo ngapi!? Mbona anapata shavu sana..
Kwa mnaomjua ni nini ubora Wa huyu msanii!?
hana lolote hamuwezi linah hata kidogo semab ye anapata shavu sababu ya jina lake coz anafanya kazi mtv base as a presenter thats y nothing else
vanesa anajuhudi gani yule zaidi ya promo ole themba unaifananisha na nyimbo gani ya vanessaKipaji bila juhudi ni sawa ni ziro.
vanesa anajuhudi gani yule zaidi ya promo ole themba unaifananisha na nyimbo gani ya vanessa
Kipaji bila juhudi ni sawa ni ziro.