Diamond na Wasafi wanafanya vizuri ila kuna watu wanajifanya kutojua,Rhumba haimo kwenye nyimbo bora za mwezi EAC

Mbona hiyo inajukana kabisa wcb ndio wametawala mziki wa bongo Wala hakukuwa na haja ya kuanzisha Uzi.Wcb ndio yenye mashabiki wengi Tanzania kuliko msanii yoyote wa hapa bongo na pia wanafanya vizuri kimataifa kutokana na nguvu ya diamond aliyonayo Sasa hao wachache wanaosema hawafanyi vizuri wanakazi gani? kama wanakubalika na mamilioni ya mashabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…