ata wewe ukirudiwa na mmeo nitapost,,ilimradi uwe celeb.
For Penny being with Naseeb is a first class mistake because I dont think if Naseeb really loves Penny and from my point of view Penny has more expectations from this relationship and as you know expectation is the source of many heart breaks
ata wewe ukirudiwa na mmeo nitapost,,ilimradi uwe celeb.
Jamani nimesikia Diamond na Wema wamerudiana,,Penny kapigwa chini..hii ni habari njema sana naipenda hii couple...ila ni habari mbaya kwa Kidoti.Sasa ile gari ya Penny aliyonunuliwa na Platnumz atairudisha ama ndio ataambulia angalau ako kagari .
kabisaaaaa mpaka domo anamlipia kodi yaani mjini kuna maisha ya kifala sana mtu anatombeka weeeeee kisha anamkuwadia mwanaume huyohuyo kwa wanawake wengine siku domo akikosa wa kulala nae halima kimwana anaingia mzigoni.Shida ukiziendekeza sana hata utu unakutoka
Hiyo kawaida kwa nyie wanawake kuibiana mabwana au umesahau msemo unaosema kuwa "Sistaduu huna adui mkubwa kama shosti"I don't knw why u feel sympathy for the super bch like Penny,,remember she stole Domo from Wema..and she was one of the closest friend of Wema.,,wat goz around comes around
mutoto ya mujini najua habariwanaume hawajui kutafuta maisha ni kitu kingine na mapenzi kitu kingine.Diamond ile tabia yake ya kukuwadia kila siku mademu wapya na halimakimwana aaache kabisa.
Natamani kumjua huyo Halima Kimwana lol!!!!!
Mbona nimeona picha zao za besidei na kucholewa Love kitandani!!!!!
nicheke Heaven mie..............
mutoto ya mujini najua habari
penny ata um-google umpati..I feel sorry for her cz hauziki.
umbea unanoga sasa picha gani?besidei ya nani?halima kimwana mdaka madanga mmoja hapa town alilala na domo pesa tamu akaamua kuwa kiwadi we mgoogle halima kimwana manywele utamuona tupige umbea sie wasiotaka umbea waende siasani afu ile show ya domo sikumbuki burundi au rwanda kulikuwa kuna besidei ya kakaye halima anahela ndeefu kumtumia kimwana ticket na marafiki zake 5 ndo hapo domo akapewa dili ikabidi domo apige show ha ha ha mjini raha halima kazi kukesha usiku mchana kulala kodi kila kitu domo na allowance juu akimpelekea watoto wakaliiiiiii siku akikosa mademu halima anaingia mzigoni.Mjini rariiiiiiiiii
mgunduziforeva me mwanamke ht ukiniita shoga t doesn't hurt hahahaha pole weeee
BINAMU YAKO soma comment yangu vizuru mm ni SHE/female/ladykumbe ni mwanaume me nildhani nawe ni binti kwa jinsi ulvyochangia hapo juu! Inabid uitwe boflo na si tofali!
ata wewe ukirudiwa na mmeo nitapost,,ilimradi uwe celeb.
umbea unanoga sasa picha gani?besidei ya nani?halima kimwana mdaka madanga mmoja hapa town alilala na domo pesa tamu akaamua kuwa kiwadi we mgoogle halima kimwana manywele utamuona tupige umbea sie wasiotaka umbea waende siasani afu ile show ya domo sikumbuki burundi au rwanda kulikuwa kuna besidei ya kakaye halima anahela ndeefu kumtumia kimwana ticket na marafiki zake 5 ndo hapo domo akapewa dili ikabidi domo apige show ha ha ha mjini raha halima kazi kukesha usiku mchana kulala kodi kila kitu domo na allowance juu akimpelekea watoto wakaliiiiiii siku akikosa mademu halima anaingia mzigoni.Mjini rariiiiiiiiii
hata mamy.....mwanamke umbea banamume wangu acha mkeo nipige umbea si unajua kuamka 12 asubuhi kuingia mzigoni kutoka saa kumi na 2 jioni nkitoka nimechoka na kazi ya kukuhudumia wewe mda wa umbea hakuna so mchana hapa kuibia ibia kidogo umbea si unajua tena