Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

Acheni ushabiki usio na maana, binafsi napenda uhusiano wa wema na diamond ila mwanaume huwa anapenda zaidi ya kitandani na muonekano wa nje...am telling u guys siamond anampenda sana wema ila atakuja oa penny coz she is a wife material..wema aatendelea kummega milele...this is reality wether u like it or not...

Sent using JamiiForums
 
BINAMU YAKO ht usiogope humu ndani usidhani wote wenye avatars za kike ni mademu haha....bora ht mie
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha kwanza muulize vipi keshapata mchumba wa kuoa..maana alikua anatafuta mchumba jf hahaha chezea kukosa mvuto wewee..pesa hana sura hana halafu anataka mke...

hahaha mke hampate wapi! mwanaume kashindikana hadi Chanika kwa waanchali na waanchoke kwa kina murra,,ndio atampata nani uku JF amuingize mkenge...Ye arudi kuoa tu uko kijijini kwao Kidodi,harusini watamchinjia nyumbu..mjini awaachie wenyewe...Pesa hana,mvuto hana,pamba hazijui nae anataka wazuli.
 
ht usiogope humu ndani usidhani wote wenye avatars za kike ni mademu haha....bora ht mie

got u but acha kumponda jamaa kua hana pesa,mvuto na pamba wakati humjui.jadilini mada kwani personal atacks hazsaidii.
 
Hahahaha kwanza muulize vipi keshapata mchumba wa kuoa..maana alikua anatafuta mchumba jf hahaha chezea kukosa mvuto wewee..pesa hana sura hana halafu anataka mke...

yeah nimempata mama yako...ila nimempiga chini kinuka mkojo yule
 
Hahahaha kwanza muulize vipi keshapata mchumba wa kuoa..maana alikua anatafuta mchumba jf hahaha chezea kukosa mvuto wewee..pesa hana sura hana halafu anataka mke...

and if you think that am ugly...u cn arrange a meeting,I woz too busy making money that i didnt get a time to interact with bitches like you....
 
Hahahahaha i know these ni faminine ways....no wonder you got four lips n bleed for several days!
 
Mmmh.!! Mambo yamecotton fire jf.. Mi hoi na hayo majbzano yenu..
 
Jamani nimesikia Diamond na Wema wamerudiana,,Penny kapigwa chini..hii ni habari njema sana naipenda hii couple...ila ni habari mbaya kwa Kidoti.Sasa ile gari ya Penny aliyonunuliwa na Platnumz atairudisha ama ndio ataambulia angalau ako kagari .

kwan ni akina nani hao??,wanasayansi ama viongoz wa taifa gan?,wanakusaidia nn katika maisha yako ya kila siku,una umri gani?,unafanya kaz gani na masaa mangapi mpaka unapata muda wa kujadili hayo?una elim gani ama na wewe n mfuasi?samahan lakin
 

Kweli Tanzania kuna viwanda vya uongo,nimeshindwa hata kushangaa uongo kama huu watu wanatunga tungaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…