Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
Ujinga huu whatsapp ni ya mtu na rafiki zake sisi hapa inatuhusu nini?
kn kitu kimeingia knwy whatsapp yng cjui km na nyie mmepata ni hot hot zaidi...
Mkuu mie Niko ktk group Fulani huko..... ndiko pia kn mastory...yote na picha ...
Najua matumizi ya mitandao....ila ktk group nakwepaje...km nimekosea nisamehe....
Daah..kweli domo habagui wala hachagui,jitu limeshazeeka kabisa hili...eti kimwana au libibi:A S-confused1:
mmhhh!! diamond kweli noma!!
naona anjaribu ku-'test' ladha za machungwa mbalimbali sokoni kariakoo!!
Umeeleweka, sasa zicopy uzipaste hapa.
kumbe unapenda kuziona eeeee
Mmmh.!! Mambo yamecotton fire jf.. Mi hoi na hayo majbzano yenu..
Tabu tupu, kisa ni celebrity forum basi hata wakitema mate yaaripotiwa,#hivi ninyi hamnaga thread za maana hadi muweke huu upuuzi!???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Niko karibu na hawa watu.najuwa wanaishije,hata kama Diamond atakuwa anakulana kwa siri na Wema ni kwa tamaa tu kama wanaume wengine walivyo na tamaa
still Penny ndiye chaguo la kwanza,peny ahe is real,ni mwanamke wa kweli kabisa ni aina ya mwanmke kila mwanamme anaetaka ndoa bora lazima atakuwa chaguo lake ,Wema ni mchafu wa tabia to the maximum,Diamond hawez mwacha Penny for Wema.
Cjui kama umenielewa dada Heaven
Thise pics nilipiga me mwenyewena siyo kwel usemayo but unahis tu,hapo Diamond alikuwa ameungua kidole kwa maji ya mshumaa so Penny alikuwa anampoza,bahat mbaya umetizama hiyo pic moja tu.
siku nyingine uache kujifanya unamjua sana boss wako...aya tuambie leo kama awa watu na wewe nan anaemjua zaidi boss wako?