R ranjan JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 338 Reaction score 288 Apr 11, 2017 #1 Wakuu mbona diamond haufanyii promo wimbo wake mpya aloutoa last week? Ni kwamba ameupotezea baada ya kelele za mitandaoni?
Wakuu mbona diamond haufanyii promo wimbo wake mpya aloutoa last week? Ni kwamba ameupotezea baada ya kelele za mitandaoni?
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 9,530 Reaction score 20,988 Apr 11, 2017 #2 ,umebuma
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 33,894 Reaction score 76,810 Apr 11, 2017 #3 Hizo kelele huwezi amini ndiyo kiki.
R ranjan JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 338 Reaction score 288 Apr 11, 2017 Thread starter #4 Au kamgwaya gwajiwise?
ZNM JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 1,219 Reaction score 1,280 Apr 11, 2017 #5 Promo gani tena, kuna mtu unadhani hajausikia? Mwenzenu kapiga hela ndefu mno wala haihitaji shule kujua hilo!
Promo gani tena, kuna mtu unadhani hajausikia? Mwenzenu kapiga hela ndefu mno wala haihitaji shule kujua hilo!
djmb Member Joined Jan 1, 2017 Posts 31 Reaction score 35 Apr 11, 2017 #6 ZNM said: Promo gani tena, kuna mtu unadhani hajausikia? Mwenzenu kapiga hela ndefu mno wala haihitaji shule kujua hilo! Click to expand... Mie cjaupata ,alie nao urushe humu huku wadau wanauhitaji sana!!!
ZNM said: Promo gani tena, kuna mtu unadhani hajausikia? Mwenzenu kapiga hela ndefu mno wala haihitaji shule kujua hilo! Click to expand... Mie cjaupata ,alie nao urushe humu huku wadau wanauhitaji sana!!!
Emmadogo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,126 Reaction score 3,771 Apr 12, 2017 #7 Umebumaaaa kinoma noma
I ihagaa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 250 Reaction score 174 Apr 12, 2017 #8 Ile n bonus tu. AF kla MTU anao
asaprichie JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 297 Reaction score 238 Apr 12, 2017 #9 ile sio official song...ni km bonus...ni km zle nyimbo zke za kizaizai su uswaz take away remix
mkurya org. JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 1,571 Reaction score 1,695 Apr 12, 2017 #10 Mbona upo yuotube mpaka sasa una viewers 3000 tu.