Diamond na Zari kubreak the media ijumaa Powerbreakfst na Clouds360 masaa manne LIVE

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,665
Nimesikia matangazo ya redio clouds kuwa siku ya ijumaa keshokutwa patakuwa na interview ambayo atakuwepo zari na diamond, itaonyeshwa live na itakuwa live redioni. Atakuwepo Gerald wa powerbrekfast na hudson wa Cloudstv wataongoza hiyo show itakayoanza saa 12 asubuhi mpaka saa nne nasikia itafanyikia kutoka nyumbani kwa diamond platnam. Pia itakuwa connected kwenye simu atakuwa sreamed live. clouds hawana jambo dogo.
 
Kuna ule mtaa ukiona/kusikia hivi wanajuta kwann waliamua kuzomea, mana lengo lao lilikuwa haanguke badala yake NEMBO YA TAIFA imekuwa kama imewekwa injini ya Fuso kwenye bodaboda
 
nasubiri kusikia zari akiongea hyo lugha ya uumbaji sijui kuna mkalimani kwa wenzangu na mm au ndio tutaachwa kwenye mataa ya surrender.....
 
Aiseeee.....
Naisubir kwa hamuu....
 
Waweke na mkalimani wa kututafsiria ngeli ya Zari bac
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…