Diamond na Zari kwenye muonekano mwingine

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762


Hizi pichaz zimechukua headlines sana Instagram, zinamwonesha Diamond Platnumz akiwa na mpenzi wake, Zari the Bosslady. Zari ana ujauzito na huenda time yoyote tukafikiwa na good news ya kujifungua kwake.


Katika akaunti ya Zari aliweka picha na kuandika ujumbe huu >>>> “
Kwa raha zetu…… vaeni madera, fungeni mikanda mpite kimya kimya Keeping it sexy and classy.#BabyBumpPhotoShoot ” >>>> @zarithebosslady





 
duu umaarufu kweli ni kazi yani utakutana na miujiza ya kila aina #show off life
 
Maisha ya Kim kardashian na Kanye kibongo. Ni. Kuonyesha uchizi aisee
 
Safi Zari na Mondi,Muendelee kutupa mapozi hayahaya tuenjoy,maana kule kwingine kwenye siasa lowasa anachefua tu
 

mkuu ww shule yako ni kiasi gani mbona inaonekana ni ndogo kushinda hata ya huyo anaekutia kichefuchefu maana unamwandama adi tunajiuliza amekufanya nn kibaya?
 

Vipi ulimsaidia kushikilia?
 

Vipi huyo Katunzi ulimsaidia kushikilia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…