Diamond na Zari wakava jarida la Mamas and Papas la SA

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Wakati wakisubiri ujio wa mtoto wao wa kiume, Nillan, Zari na Diamond walipiga picha kwaajili ya jarida la Mamas and Papas la nchini Afrika Kusini. Na sasa jarida hilo linaingia mtaani February mwaka huu. Kupitia Instagram, Mamas and Papas, wameshare cover lake ambalo limepokelewa na maoni tofauti.



 

Mwanamuziki wa Bongo, na Mkurugenzi wa
Kampuniya WCB, Nassib Abdul ‘Diamond
Platnumz’ na mzazi mwenzake, Zarina Hassani
‘Zari’ wamefanya cover ya jarida kubwa la Mama
and Papas la Afrika Kusini.
Wawili hao baada ya kuvuta mkataba wa kupiga
picha za kupendezesha jarida maarufu la Afrika
Kusini, Papas And Mamas.
mitaani ambapo litaanza kutoka mwezi ujao
(Februari), kuhusu mkwanja waliolipwa mpaka
kupiga picha hizo bado hauja wekwa wazi ila mtu
wa karibu na Diamond alisema jamaa amevuta
mkwanja mnono.
 
MTOTO : Eti baba mwanaume ni nani?

BABA : Mwanaume ni mtu anyejali familia yake,anahakikisha wanapata mahitaji ya msingi na anailinda vyema.

MTOTO : Nikiwa mkubwa nataka niwe mwanaume kama mama.
Dah teh teh teh!! Haya matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…