Diamond na Zari wawasili songea kutumbuiza sherehe za miaka 38 za CCM

Diamond na Zari wawasili songea kutumbuiza sherehe za miaka 38 za CCM

Mr.positive

New Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
3
Reaction score
1
Kwa Mara ya kwanza ndani ya Ardhi ya kwanza Tanzania, diamond na zari watatumbuiza pamoja hapa mjini songea kwenye sherehe za CCM kutimiza miaka 38.
Update
Diamond na zari wameshatua uwanja Wa ndege wa hapa songea
attachment.php

MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' tayari yupo katika Mji wa Songea mkoani Ruvuma akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' tayari kwa ajili ya shoo itakayosindikiza hafla ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo katika Uwanja wa Majimaji.

 

Attachments

  • picha.jpg
    picha.jpg
    69 KB · Views: 5,110
Karibuni sana kwenye jiji la kimataifa Songea. Jiji la watu wenye pesa na wajanja wa mjini, huku ni bata tu kuanzia januari mpaka december
 
Diamond ameshangaa alipogundua Songea kuna hoteli nzuri kupita Dar
 
Karibuni sana kwenye jiji la kimataifa Songea. Jiji la watu wenye pesa na wajanja wa mjini, huku ni bata tu kuanzia januari mpaka december

Diamond ameshangaa alipogundua Songea kuna hoteli nzuri kupita Dar

Leo kazi tunayo.Naona utamtafuta hadi upige naye picha maana hujawahi kumuona live zaidi ya kwenye media.
 
Diamond na zari songea airport
 

Attachments

  • 1422780484519.jpg
    1422780484519.jpg
    79.8 KB · Views: 1,894
Haya watu wa songea
 

Attachments

  • 1422780666739.jpg
    1422780666739.jpg
    70 KB · Views: 1,469
  • 1422780828891.jpg
    1422780828891.jpg
    54.6 KB · Views: 1,456
Mahakama ya khadhi inaanza lini? huyu mama ni mke wa mtu na mama wa watoto watatu anatutembelea nusu uchi na kimada wake tena hadharani.
 
Diamond ameshangaa alipogundua Songea kuna hoteli nzuri kupita Dar

Hahahaa haya bwana, Songea kuna hotel nzuri kuliko Dar??? Very interesting, tupia picha ya hotel mojawapo za hapo jiji la Kimataifa laki si pesa!
 
Last edited by a moderator:
Haya watu wa songea

Hivi mama mtu mzima mwenye watoto watatu anaweza vaa namna hii kweli? tena mke wa mtu? nimeona mumewe Ivan akilalamika namna mkewe navyofanya ngono na huyo mtoto mshenzi wa kitanzania tena wametunga na wimbo nitauweka hapa muone mumewe anavyolalamika. hivi songea hakuna mashehe wakemee haya mambo?
 
Back
Top Bottom