Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Kwa kizazi hiki ukubali ukatae, Diamond ndio anazungumziwa zaidi kuliko msanii yoyote hapa Tanzania kuanzia mitaani hadi mitandaoni
Imekuwa kawaida sana Diamond kushikilia trending tano za juu kwa sababu ukweli ni kwamba Diamond ndio anafatiliwa kuliko msanii yoyote hapa bongo, iwe anafatiliwa kwa nia nzuri au kwa nia mbaya hali inabaki pale pale, Diamond ndio habari ya mjini.
Kwa mfano kwa wiki hii Tanzania nzima huyu kijana ana video zake nne zinazoongozwa kutazamwa na taifa zima.