Diamond ndio anayezungumziwa zaidi "talk of the town" Tanzania

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370

Kwa kizazi hiki ukubali ukatae, Diamond ndio anazungumziwa zaidi kuliko msanii yoyote hapa Tanzania kuanzia mitaani hadi mitandaoni

Imekuwa kawaida sana Diamond kushikilia trending tano za juu kwa sababu ukweli ni kwamba Diamond ndio anafatiliwa kuliko msanii yoyote hapa bongo, iwe anafatiliwa kwa nia nzuri au kwa nia mbaya hali inabaki pale pale, Diamond ndio habari ya mjini.

Kwa mfano kwa wiki hii Tanzania nzima huyu kijana ana video zake nne zinazoongozwa kutazamwa na taifa zima.

Attachments

  • upload_2018-4-4_13-57-51.png
    80.5 KB · Views: 45
Ila hajawahi kuimba na RKelly kama Kingkiba
 
Yooooooh hatutaki show off in kipaji tu

Ha ha ha
 
Anachokifanya Diamond na WASAFI TV kuwaunganisha wasanii wote Tanzania hasa wale ambao walikuwa wametengwa na Clouds na EATV....si kitu kidogo. Ni kitu kikubwa sanaa na cha kupongeza mnoo...

Pamoja sana Wasafi TV
 
😉
 
Diamond ni kama maji hakuna anayeweza kuepuka habari zake na kumfatilia. Ata wanaojifanya hawamfagilii wanajidanganya ndio maana kuna wataokuja kusema hawamkubali bila kujua kama ndio kumkubali kwenyewe
 
Anachokifanya Diamond na WASAFI TV kuwaunganisha wasanii wote Tanzania hasa wale ambao walikuwa wametengwa na Clouds na EATV....si kitu kidogo. Ni kitu kikubwa sanaa na cha kupongeza mnoo...

Pamoja sana Wasafi TV
kiba TV IPO ila haitaki sifa
 
POLE SANA MTOA MADA HIVI WEWE MUNGU WAKO DIAMOND. HIVI AKITAJWA DIAMOND NDIO IWEJE HUNA DINI . ANAETAJWA SANA NI MUNGU KUNA WATU ASUBUHI NA JIONI WANAMKUMBUKA MUNGU NA WANAMTAJA SIO DIAMOND. wewe ukiamka asubuhi badala ya kuleta nyimbo za ibada unaleta za diamond mchana kutwa diamond na siku ukizikwa na kufufuliwa jambo la kwanza utamuliiza mungu diamond yuko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…