Diamond ndiye msanii bora zaidi Tanzania na mwenye mchango mkubwa katika uchumi wa Taifa hili

KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
2,476
Reaction score
2,371
Habari wanajamvini .katika kufuatilia habari na kuhudhuria kumbi mbalimbali za starehe mimi nikiwa kolokoloni huwa nakutana na wakati mgumu sana katika kazi yangu siku akiwa Diamond ndiyo mtumbuizaji maana wattu umiminika kama sunami hivyo ulinzi huwa ni mgumu sana maana watu hutuzidia tofauti na wakiwa wasanii wengine.

Pia kampuni za bia na soda mambo huwa shwari bila kusahau washona nguo na wauza vitenge maana vijana hushona mitindo ili wafanane na star huyu.

Muziki wa jamaa huyu kila ukiwasha tv za kenya uganda utaona anatamba bila shaka anakubalika zaidi afrika mashariki kuliko wasanii wote kwa sasa .

Kuna wapuuzi wachache wanattaka kumuhujumu lakini hawataweza maana dhahabu hata iwekwe kwenye mavi haishuki thamani.
 
Diamond Wakatae wakubali, lakn jibu litabaki kuwa pale pale kwamba ni artist bora kabisa kwa sasa kutoka ukanda wa east africa.

huwanga nawashagaa sana wanaomponda diamond huku kwenye simu, flash na cd za kubani pamoja na vyazo vigne vya music wanapiga na kusikiliza nyimbo zake zilizojaa utamu kama asali ya tabora.
 
jamani mbona hamuelewi!!!!? Diamond alizomewa pale leaders sababu ya maneno yake ya shombo tu, tunajua uwezo wake ni mkubwa kwenye fani. tatizo lipo kwenye hizo kauli mbofu mbofu!!!! sasa badala ya kupoteza muda kuja kumsafisha ni vizur mgeenda kumwambia aombe radhi kwa watanzania, otherwise mtaandika sana na show zingine atazomewa tu.
 
huyu jamaa kwanza katengeneza ajira nyingi sana kwa sasa hebu fikiri soko la vitenge lilivyo shika chati ghafla washona nguo wamepata tenda zisizo ttegemewa vijana kibao mtaani wanaocheza ngoma za diamond wajipatia mapesa kedekede kama vile dancemiamia nk. mungu mbariki diamond
 
nyie mnamajungu tu kwanza diamond hanaga muda wa kuongea upuuzi .nyie na majungu yenu tu diamond ni wa bei mbaya na kumbukeni wabogo wengi wanataka ajifanye wa bei poa ili afulie baadae wamkebehi.Diamond kajitambua yeye ni wathamani kubwa mno hapa east africa na bado anafanya bidii atambulike afrika na dunia lakini wabongo bado wanamgred kundi lilelile la Tandale kwa mtogole wakati yeye kashotoka huko na ananena na matop wa nchi kwa sauti nzito.
 
Fanya ufanyavyo Dangote, tujuao maisha bila UNAFIKI tunakusapoti milele!!
 
hakuzomewa sababu ya maneno ya nyodo, alimewa baada ya kuonyesha kujitambua na hivyo wanaojiita wadau wa mziki walikosa kumtumia kwa bei ndogo.

Wewe angali pamoja na promo yote ya Kiba, Kiba mwenyewe anafaidika na nini zaidi ya umaaruufu wa kijinga.

Na hii nguvu inayotumika kumpandisha Kiba sio kwa faida ya Kiba bali kwa faida ya wanaomshusha Diamond.
 
Dah hizi timu sijui mwisho wake nini!!!! Tusiokua na timu yetu macho na zaidi tunawatakia mafanikio wasanii wa bongo.
 

endeleeni tu kujitoa akiri ila mnampoteza mwenzenu, atachuja siku si zake.....
 

Tusisubiri mpaka afe ndo tumsifie....tumpe Dimond sifa zake akiwa hai
 

Kumbe mpaka Ngosha unalijua hiloooo....sasa ukitaka yule mbebez akuote mdediketie wimbo wa "lala salama"
 
Huo ni upumbv wakati kuna kiba
Mimi sio mshabiki sana wa bongo fleva ila ukiniuliza ktk mziki huu wa bongo fleva kwa sasa namkubali nani bila shaka jibu ni diamond platnumz.Huyu dogo amefanya mapinduzi makubwa sana kwenye gemu ya mziki ambapo umaarufu wake kwenye sekta ya michezo na burudani ukimuondoa Hashim thabiti hakuna ubishi anafwata yeye.Wabogo tujifunze kua na uzalendo diamond anafanya juhudi kubwa sana kujipatia sifa yeye binafsi na taifa kwa ujumla tumpe sapoti sio kumuombea mabaya.Alikiba nae ni msanii mzuri ila anatakiwa aongeze bidii ktk kazi yake ya mziki na asikubali kudanganywa na Maneno ya watu kua yeye ndio msanii mkubwa bongo,afanye kazi zenye ubora zaidi bila shaka nae atasikika zaidi bongo na hata nje ya mipaka ya bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…