Diamond ndiyo Mfano wa Kuiga siyo Kiba

Diamond ndiyo Mfano wa Kuiga siyo Kiba

Mbingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
411
Reaction score
230
Ndugu wana burudani ni ukweli ulio wazi kuwa Alikiba ndiye aliyewahi kutoka kabla ya Diamond Dangote, Diamond alikomaa kwa kutokubweteka mpaka sasa hivi tangia 2009 bado yuko juu, sasa Huyu Kiba angejiuliza kwa nini alishuka na mwenzie kubakia juu, na sasa hivi anapaparika kwenda South Africa kushoot ila nyimbo video hazivutii bora Angekomaa kwa Hanscana, Kumsifia KIBA NI DALILI YA KUBWETA NA KUSHUKA........
 
Diamond namkubali lakini kwa kweli siku hizi ananiboa kwa "kuanza kwake kusahau kiswahili na slang za kuigiza za hollywood
 
Back
Top Bottom