Ndugu wana burudani ni ukweli ulio wazi kuwa Alikiba ndiye aliyewahi kutoka kabla ya Diamond Dangote, Diamond alikomaa kwa kutokubweteka mpaka sasa hivi tangia 2009 bado yuko juu, sasa Huyu Kiba angejiuliza kwa nini alishuka na mwenzie kubakia juu, na sasa hivi anapaparika kwenda South Africa kushoot ila nyimbo video hazivutii bora Angekomaa kwa Hanscana, Kumsifia KIBA NI DALILI YA KUBWETA NA KUSHUKA........