Ni aibu kwa mwanamuziki mkubwa kama Diamond kukosa website,zaman alikuwa na blog lakini nayo kww sasa imekufa,
Inabidi atengeneze website nzuri iwe yake binafsi ama hata ya wcbwasafi,ambapo humo tunakuta habari rasmi,video,nyimbo na galley ya picha.
Ni aibu eti ukitaka fanya booking watuma kwa email yenye domain ya gmail??? Jitengeneze uwe brand ushakuwa wa kimataifa. Kupitia website yako ama ya wcb utaongeza mapato kupitia matango

we unayo..!Ni aibu kwa mwanamuziki mkubwa kama Diamond kukosa website,zaman alikuwa na blog lakini nayo kww sasa imekufa,
Inabidi atengeneze website nzuri iwe yake binafsi ama hata ya wcbwasafi,ambapo humo tunakuta habari rasmi,video,nyimbo na galley ya picha.
Ni aibu eti ukitaka fanya booking watuma kwa email yenye domain ya gmail??? Jitengeneze uwe brand ushakuwa wa kimataifa. Kupitia website yako ama ya wcb utaongeza mapato kupitia matango
mimi na wewe tunaongea lugha mojaMitandao ya kijamii sio reliable kivile kama website...Tanzania haijaendelea kivile mpaka kufika level za kusema kua na website ni old school maana website unapata info zote mfano tour za diamond za 2013, show yake ya diamonds are forever ipo kwenye hizo social media zake...?
Kwa kifupi mimi pia nashauri Diamond awe na website....mimi na wewe tunaongea lugha moja
WCB waja na website yao itakayouza kazi zao.Insta ni zaid ya website kwa diamond sasa website ya nini