Diamond ni mfano wa kuigwa

Si akili yake pekee ni management aliyonayo.bila hivyo angekua walewale.
Ngoja nikuambie mat8,management aliyonayo ni kweli inasehemu yake ya inayomuelekeza na yy akaelewa lakini management hii aliyonayo DIAMOND si msanii wa kwanza kum-meneji. Fellah alishakuwa na akina Nature,Mh Temba na Chege na Tale alishakuwa na akina Madee, Z-Anto akina Mb Dog lakini wako wapi??????????? Lakini DIAMOND anajitambua anataka nini na anafanya nini ila watu wakimuona hivi na vile anavyoposti mapicha picha basi wanazani vile anavyovionyesha ndivyo pekee alivyonavyo kumbe sio jamaa ana nyumba nyingi,mashamba,viwanja na miradi kibao ambayo watu wengi hawajui kwa kuwa mwenyewe huwa havionyeshi na anaweza kuyatofautisha maisha halisi na maisha ya istagram,NGOJA NIWAAMBIE DIAMOND MUNAYEMJUA ISTAGRAM NA FB NA TWITTER SIO YULE NASEEB ABDUL JUMA MTOTO WA TANDALE MA-EX WAKE WANAJUA ANAVYOMILIKI NDO MANA HAWAISHI KUWEWESEKA.
 
Last edited by a moderator:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…