el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
Yes, kama heading inavyosomeka................
kwanza nianze kwa disclaimer, mi ni mshabiki mkubwa sana wa DIAMOND, SIMBA CHIBUDIII CHIBUDEEEE...........
Pili, nimpe sifa zake Diamond platnumz kwa kuwa na consistency ya muda mrefu sana, miaka kumi kwenye game bado anatoa hits non-stop na bado ndiye superstar nambari moja kwenye muziki hapa bongo.
Tatu, nije kwenye mada, hivi karibuni Diamond amekuwa akipiga shows mfululilizo, mfano ni hii juzi alipiga ijumaa Burundi, jumamosi akapiga Rwanda, Jumapili akapiga Moshi Tanzania...........!!! , shows tatu , katika nchi tatu ndani ya siku tatu tofauti..!!!!!!
Sio kazi rahisi, na historia inatuonyesha kuwa kutokana na kazi ya muziki kuwa ngumu hasa kwenye kutumbuiza mida ya usiku mfululizo ,wasanii wengi wakubwa walijikuta wamekuwa addicted kwa kutumia dawa mbalimbali mfano,kina Marehemu Michael Jackson, Lil wayne, Marehemu whitney houston, Britney spears ,Chris brown n.k.
Sasa najiuliza kwa huyu supastaa nambari moja hapa nchini ni uwezo pekee unaomfanya awe na uwezo kupiga show mfululizo au kuna namna nyinginine.
Kama ni uwezo pekee basi hakika tutakuwa tunamshuhudia "The Greatest Music Performer" in the history of Tanzanian Music at Peak of his Powers, show tatu mfululizo katika nchi tatu tofauti ndani siku tatu na zote akizipiga kwa kuimba na kucheza si jambo la kawaida na pengine ndio linafanyika kwa mara ya kwanza Tangia tumepata uhuru.