Diamond ni uwezo pekee au...!

Viana wa leo bwana!!! sasa wasanii wa siku hizi wana kazi gani? mtu anaweka CD aliyorekodi miaka kibao na kuzuga kama anaimba wakati hakuna lolote!!!? sasa atachoka kwa kipi?? kwa kusema mikono juu au sei yoooo!!! yaani mimi nipoteze muda wangu kuangalia mtu anayefanya maigizo kwa kuweka CD eti anakonga nyoyo???kama mtu haimbi live siwezi kumsikiliza nafumba macho ama natoka kabisa hata kama ni sherehe inaharibikia hapo hapo iwe kwaya!!! iwe bendi iwe bongofuleva... poterea mbali sasa wewe komaa na maneno ya kizungu niliyoyaandika kwa makusudi ukidhani nimekosea.
 
Tuache utani huyu Mwamba anapiga kazi haswa..hayo mengine ni ziada
 
hebu kajaribu wewe halaf ulete mrejesho
 
mtu ukiwa freemason unaweza hata kwenda kigamboni kwa kukatisha pale feri kwa miguu
 
Fid Q kapiga show moja la balaa uzinduzi wa album yake ya kitaolojia, amepiga kwa live band sauti inasikika vizuri hakuna cha mikono juu, say yeeeeh yeeeeh. Nilikua sijamfaham vizuri na mwingine ni Christian Bella
 

Attachments

  • twitter_20190819_221454.mp4
    6.2 MB
Alikuwa ana muda mrefu pia hajapiga show za kihivyo.. tatizo lilikuwa ni nini? Yeye ni mburudishaji mzuri na sio muimbaji mzuri.
 

Ni rahisi sana kudharau kazi ya mwenzako kwa kudhanj ni rahisi kwa kuwa huifanyi..

Haya tukuwekee wewe CD uimbe na kucheza back to back nyimbo zote kuanzia kamwambie ya 2009 hadi inama ya 2019 tuone kama utaweza..
 
Alikuwa ana muda mrefu pia hajapiga show za kihivyo.. tatizo lilikuwa ni nini? Yeye ni mburudishaji mzuri na sio muimbaji mzuri.

Hivi havina mahusiano..

Muda mrefu hajapiga show kivipi wakati kabla ya hizi show tatu mfulululizo alikuwa ametoka marekani kupiga show nyingine kama 3 na kabla ya hapo alikuwa wasafi festival Dodoma na Tabora na kabla ya hapo alikuwa Madagascar?
 
Fid Q kapiga show moja la balaa uzinduzi wa album yake ya kitaolojia, amepiga kwa live band sauti inasikika vizuri hakuna cha mikono juu, say yeeeeh yeeeeh. Nilikua sijamfaham vizuri na mwingine ni Christian Bella

Kwahiyo msanii akisema mikono juu anakuwa hajui?
 
Kulia yupo Zari na watotos na kushoto amekaba Hamisa na Simba mtoto wake:

Huku katikati amekamatia Yule mkenya Tanasha na kibendi chake..

Bado looseball kibao za kitaaa!!

hapo lazma afanye Showz nonstop mfululizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…