Diamond ni uwezo pekee au...!

Tumepewa angalizo hapo juu,kuna wakina Lil Wayne sasa hivi wanadondoka hovyo,kuna wakina Rose Muhando n.k.,huyu jamaa mtoa mada kuna kitu anakijua ila hataki kukiweka wazi.Kiuhalisia sio kazi rahisi kwa binadamu wa kawaida ila time will tell..
 
kweli bhana hzo live n kwa nyimbo za akina R kelly cellin dion na baadhi kama hao coz hata MJ alikuwa akitumia cd
 
Ahaaaah huyo ajuza wa miaka 50 uwezo hautolee wapi?
Kauli ya huyo jamaa Kama uwelewi ni ya kumkejeli kiba hii kauli ilianzia kutrend baada ya interview moja ya kiba kusema aliwakuwa na record level before ya wcb miaka ya nyuma hapo akiwa anazindua level yake ya kingmusic mwandishi akamuuliza mbona hatukuwahi kusikia yeye akasema nilikuwa sipendi show off ndo maana ukuisikia jibu la kiba lilifanya watu wengi wacheke tokea hapo hiyo kauli ilianza kutumiwa kwa lengo la kumkejeli kiba Kuna mtu anaweza akasema kiba ni tajili kuliko mo ila tu apendi show off na wengi wanatumia hi kauli ni Mashabiki wa diamond.Nafikiri utakuwa umenipa vizuri.
 
Record label au record level. Naomba unitoe tongotongo mkuu.
 
we unafikiri mama yake anavyoenda kigoma mara kwa mara huwa anaenda kutalii?
Wana mganga wao chimbo flani huko kasulu ndani ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…