Diamond nimeamini kweli hao wanajenga majungu wewe unajenga vibanda

Ukweli ni kuwa waganda wanadharau sana, tena wengi wao wanadharau Kiswahili, wakimkuta mswahili ambae hajui kiingereza kwao wao ni kuwa hajasoma. Kitu kingine ninadhani Zari alifikiri atamudu kuibadilisha familia ya Diamond iishi anavyotaka yeye, aliweza kumbadilisha Esma kwa kumfundisha kupaka make up na kuvaa, mengine amefail.
 
Mange zile stress tu
Mange Hana stress zozote kashampata mwingine zaidi ya mwanzo anaongeaga ukweli tatizo ss wabongo hatupendi ukweli ukiambiwa ukweli lazima upanic ndo hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mhhhhhh hizo picha za birthday Zari kaonekana jinsi umri ulivyomtupa mkono.

Iyobo na Aunt naona wameanza kufanana hivi [emoji12]

Dida nae [emoji6]
Umeonaeee na hapo editing kibao ,chezea kuzaa wewe huwez kuzaa watoto wote hao alaf ukataka nawe uonekane Kama binti[emoji14] [emoji14] [emoji14] ila hizo nguo anazovaa za kubana na tumbo hazimpendez kwakwel uongo zambi angekuwa anavaa hata magauni mapana mafupi
 
Mange Hana stress zozote kashampata mwingine zaidi ya mwanzo anaongeaga ukweli tatizo ss wabongo hatupendi ukweli ukiambiwa ukweli lazima upanic ndo hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi mwororo
 
Mm huyu dada nilikuwa nampenda lakn alipofanya birthday ya mwanae bila kuwaalika ndugu zake diamond nilimchukia ghafla hiyo ni dharau kubwa Sana na sidhan Kama kina sandrah walikataa kwenda ni dhahir hakuwaambia , Ana roho mbaya Sana huyu mwanamke hata na ndugu wa Ivan haelewan nao, na sijui Kama hiyo nyumba ya south watakuja watie mguu wao kule
 
Ninamuonea huruma sana bi Sandra, alivyo karibu na mwanae sasa gubegube hili limekuja kuwafarakanisha, tena kuna watoto ndani, issue imekaa vibaya.
 
Mh! Mbona sura ya ki-Wemawema? Inamaana jamaa kazi yake ni kupiga za kiivo tu? Maana sura ni ileile anayovaa Wema! Au kwakuwa macho yangu hafifu kwakuwa yana lenzi mbonyeo?
 
Ninamuonea huruma sana bi Sandra, alivyo karibu na mwanae sasa gubegube hili limekuja kuwafarakanisha, tena kuna watoto ndani, issue imekaa vibaya.
Yaani acha tu si kwa gube hili mwanamke Ana roho mbaya mpaka siwaelewi watu wanaomsifia wakati rohoni kaozaa ananukaa
 
Wenye wivu wajinyonge wakianzia na haters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…