JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mzee wa Bwaksi akiwa na Zungu Macha wana wimbo wao unaojulikana kwa jina la Kafubaa, mzigo huo wa Singeli unachezwa na kusikilizwa zaidi mitaa ya Uswazi.
Habari ni kuwa Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz naye ni moja ya waliouelewa wimbo huo na anataka kuufanyia Remix.
“Sisi tunasapoti muziki wa Tanzania, kutakuwa na remix ya KAFUBAA,” amesema Sallam SK ambaye ni Meneja wa Diamond ambaye katika kuonyesha yupo serious na hilo alisikika mwenyewe akiimba kionjo cha wimbo huo kwa kuimba: “Nimekutana na Ex wangu kapauka mbwa yule”