JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Chuki tu weweYa EP hajayamaliza anadandia miziki ya wenzie,
ndio ajue vipaji watu wanavyo kumzidi wala hawatumii nguvu na maskendo kujipush.
Umeona eeh, wenye husda wamejaa, umaskini utawaua wengi kwa pressureKizuri Kisifie
Alisema wapi mkuu?Si alisema hana muda na wasanii wa bongo?
leta takwimu na si porojo kijana mwenye chuki na watu wasiokujua hata kama una exist.Mzee wa copy and paste
Pole yake EP imedorora
Wewe unamuamini mtoa mada hakuna kitu kama hicho mtoa mada kawaingiza choo Cha kike nanyie mmeingiaKizuri Kisifie
leta takwimu na si porojo kijana mwenye chuki na watu wasiokujua hata kama una exist.
🤣🤣🤣 Naona mtoa mada kawachota akili na nyie mmeingia kingiSi alisema hana muda na wasanii wa bongo?
Dada una chuki si ya kitoto kwanza kabisa mtoa mada kawachezea tu akili hakuna kitu kama hicho na nyie kwasababu siowafuatiliaji mmeingia kingiYa EP hajayamaliza anadandia miziki ya wenzie, ndio ajue vipaji watu wanavyo kumzidi wala hawatumii nguvu na maskendo kujipush.
But at improve na kuwa na makubaliano na mhusika, na sisi tu tapata burudani, wewe unawashwa sehemu ipi?Mzee wa copy and paste
Pole yake EP imedorora
Hata wewe umeingizwa Cha kike na mtoa mada hakuna kitu kama hicho sema amewasilisha kwaakili ya kuwachota akiliBut at improve na kuwa na makubaliano na mhusika, na sisi tu tapata burudani, wewe unawashwa sehemu ipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania ukifa kwa stress ujue umezitaka mwenyewe[emoji1787]