Diamond: Nina skendo nyingi ila nitakua waziri siku moja

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii Diamond amedai licha ya kuwa na skendo nyingi ipo siku atakuwa waziri wa michezo na sanaa nchini ili kutatua changamoto katika muziki na michezo ambazo serikali imeonekana imeshindwa
Pia alisema BASATA hawatakiwi kufungia videoo chafu kwa sababu video nyingine ni lazima ziwe chafu
 
Sawa ombi lake limefika,mjomba magu atalifanyia kazi.
 
AKASOME HATA JIWE MOJA SASA
 
Jamani, hii ndoto siyo kama ya Lema!?

Kweli, "Tanzania' ni shamaba la bibi"
 
Kwa kuwa ni mwanaCCM na Ana hela naamini Ndoto yake itatimia 2020 Anagombea ubunge na atapita na atachaguliwa kuwa waziri Sizonje Anampenda sana Majimbo ya kigoma au Daslam wajipange Akipitishwa na chama ni asubuhi tu Anachukua jimbo kipenzi cha warembo wapiga kura wengi ni Wanawake na wanampenda
 
Labda awe waziri kama waziri sonyo

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Labda awe waziri kama waziri sonyo

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
hahahaha, hivi yupo huyu waziri sonyo

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
watu mna maneno humu

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Mbona mpaka sasa yeye ni Rais wa WCB kwahiyo kuwa "WAZIRI" sio ajabu.
 
Atakae mpa hicho cheo
Nae atakua muuza ngada
Mwenzake
 
Namshauri abakie hapo alipo maana ni bora kuliko huko anapotamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…