DIAMOND: Ninampango wakusaidia vijana kwenye soka

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Wakati akitambulishwa kuwa ambassador wa parimatch ambayo ni company ya kubetti Leo msanii wa kimataifa diamondplatnumz amesema pia alikuwa na mpango wa kuanzisha company ya kusaidia kuwatafutia timu za nje wachezaji wa kitanzania wenye talent ya mpira.Na huu ushauri alipata alivyokutana na drogba ufaransa na pia etoo na pia drogba ameniambia atanitafutia office na nyumba ufaransa na kwasababu drogba anajua vizuri maeneo ya kule lakini pia tulishaanza kushirikina na watu wenye kujua mpira na wenye taaluma pia ya mpira prosses zikimaliza tutawatambulisha ingawa prosses ni kubwa Sana tofauti na nilivyotegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…