Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania naseeb Abdul a.k.a baba lao amesema atakuja na kitabu chake kinachoelezea maisha yake binafsi na hii imekuja baada ya mashabiki wake kukuuliza leo kwenye Twitter wanataka kuona msanii wao ana kitabu chake ambacho kinaweza kusaidia watu wengi kujifunza na mondi kuwajibu kipo njiani.
Diamond ni msanii maarufu sana na anafuatiliwa na wengi ndani na nje ya nchi na Kama atakuja na kitabu chake litakuwa Jambo zuri Sana.
Diamond ni msanii maarufu sana na anafuatiliwa na wengi ndani na nje ya nchi na Kama atakuja na kitabu chake litakuwa Jambo zuri Sana.