[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! We mtu weweeeeKiba tayari ana kitabu sema hapendi kujionyesha tuu, wanasoma ndani yeye na akina mathoziii eeeeheee, kinaitwa ‘yoooh yebaba’
Bora umeuliza hilo swali. Na je wanamuziki wote wa Bongo kunamapato wanayopata kutokana na Album?Hivi ile album yake A boy from Tandale aliuza copies ngapi
Yooooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiba tayari ana kitabu sema hapendi kujionyesha tuu, wanasoma ndani yeye na akina mathoziii eeeeheee, kinaitwa ‘yoooh yebaba’
Una miaka 30 unasema kitabu cha maisha yangu
Huu utani acheni mnazingua
Manashusha thamani ya wandishi wa vitabu
Kudadenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiba tayari ana kitabu sema hapendi kujionyesha tuu, wanasoma ndani yeye na akina mathoziii eeeeheee, kinaitwa ‘yoooh yebaba’
KumbeKuandaa kitabu hakujalishi umri... unaweza kuandikia kitabu maisha hata ya mwanao wa miezi sita