true movie
Member
- Sep 15, 2014
- 30
- 12
Leo no kithungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa kila siku anamuhoji Diamond????
unashangaa nini???
unashangaa nini???
Hii habari ina tija gani kwa Taifa?
Hii habari ina tija gani kwa Taifa?
Hii habari ina tija gani kwa Taifa?
ukitaka habari zenye tija kwa taifa nenda wizara ya habari na michezo
Umepanic jombaaa! Ndio umeamka saa hizi? Maana ulikimbia jukwaa.
Anaongea vizuri sana, kamtaja ALI mara mbili,, kwamba ni kitu kinatengenezwa ili wapige hela.
Kamtaja tena...
Like hana bifu nae.
Ameongea vizuri sana kwenye hii interview!
hata mimi nashangaa sana kwa nini mnataka huyo kijana wenu apande halafu Diamond anguke ? waache wote wawe juu mbona nchi za wenzetu unakuta wasanii hata 10 wote wapo juu? sasa mnataka dogo anguke ili mumcheke au? acheni ujuhaIna tija zaid ya zile nyingine ulizoanzisha hapa hapa jukwaa la celeb, hasa zile zinazomuhusu yule jamaa ambaye mnadhan ili apande juu ni had huyu Domo ashuke. So jitihada nyingi zinafanyika kumshusha ili jamaa yenu apande
sidhani kama Diamondi alifunikwa fiesta ili kuna kundi ambalo lilijipanga kumzomea na likafanikiwa sasa hata kiba angalie kama anataka kuja juu siyo kwa mtindo huo , anatafuta bifu za wazi hakuna sababu ya kuweka scene zinazomtambulisha kwamba yeye ndiyo mfalme mara sijui anaenda kwa wazee . diamond hamkumtendea haki tena mulimuabisha mbele ya dovido ambaye ameona kwamba jamaa haungwi mkono hapa kwao. tujaribu kubadilika tuwe waungwana kama kakosea aambiwe ajirekebishe lakini si kumzomeaBaada ya kufunikwa Fiesta?
Sasa unataka amhoji msaga sumu.Wewe umeshasikia ana show hata Bilicanaz sasa ile sporah show ni toka UK.Nashangaa kila siku anamuhoji Diamond????